• HABARI MPYA

  Wednesday, September 14, 2016

  ARSENAL YAPATA SARE KWA PSG, 1-1 PARIS SANCHEZ ACHOMOA

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akimlamba chenga kiungo wa PSG, Grzegorz Krychowiak katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, bao la Arsenal likifungwa na Sanchez dakika ya 77, baada ya Edinson Cavani kutangulia kuifungia PSG dakika ya kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAPATA SARE KWA PSG, 1-1 PARIS SANCHEZ ACHOMOA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top