Picha kubwa wachezaji wa Atletico Madrid wakifurahia na Kombe la Audi baada ya kuifunga Liverpool (picha ndogo juu kushoto) kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Keidi Bare alianza kuwafungia wenyeji dakika ya 33, kabla ya Roberto Firmino kuwasawazishia wageni dakika ya 83 na katika mikwaju ya penalti waliofunga na Atletico ni Griezmann, Torres, Gabi, Gaitan na Luis wakati za Liverpool zilifungwa na Firmino, Origi, Kent na Grujic huku Henderson akikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ex-Socceroos captain Paul Wade says he has probable CTE, urges no heading
for junior players
-
PERTH, Australia (AP) — Former Australia soccer captain Paul Wade says he
has been diagnosed with probable chronic traumatic encephalopathy (CTE) and
has r...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment