Kiungo Juan Mata akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 81 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Sampdoria usiku wa jana Uwanja wa Aviva mjini Dublin. Henrikh Mkhitaryan alianza kuifungia United dakika ya tisa, kabla ya Dennis Praet kuisawazishia Sampdoria dakika ya 63 katika mchezo huo ambao, kiungo mpya, Nemanja Matic aliyesajiliwa juzi kutoka Chelsea kwa Pauni Milioni 40 alicheza kwa mara ya kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
‘Noise before chaos’ lives with passenger partially sucked out of Ryanair
plane
-
Fellow passengers held on to Ljubisa Karovic and pulled him back in,
although he remembers very little of the incident.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment