Nyota wa Ujerumani, Thomas Mueller (kulia) na Jonas Hector wakishangiia bao la tatu la timu yao katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech usiku wa Jumamosi kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Volkspark mjini Hamburg. Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Muller dakika za 13 na 65 wakati lingine lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bungling Andy Burnham is criticised for ANOTHER error in attempting to
clarify his statement on Man City case after being called out for
'tone-deaf' response following 'concern' over losing Abu Dhabi owners
-
Burnham's claim that he would be 'really concerned' if City's owners were
to sell the club after it was found guilty of serious breaches of the
financial r...
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment