Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akiruka kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dakika ya 64 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wao wa kwanza Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality. Mabao mengine ya Man United iliyo chini ya kocha mpya, Mreno Jose Mourinho yamefungwa na Juan Mata dakika ya 40 na Nahodha Wayne Rooney dakika ya 59, wakati la Bournemouth limefungwa na Adam Smith dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Long-delayed defence spending plan to be published on Tuesday
-
The defence investment plan will set out how billions will be spent on
equipping the UK Armed Forces.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment