Mshambuliaji wa Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao mawili Ureno katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Estonia kwenye mchezo wa kirafiki kujiandaa na Euro 2016 nchini Ufaransa. Mabao mengine ya Ureno yamefungwa na Ricardo Quaresma mawili, Danilo Pereira, Mets aliyejifunga na Eder 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fans show their colors at World Cup FanFest in downtown Miami
-
Hours before their nation's final World Cup group match game in Miami, fans
from Colombia and Portugal turned out at FanFest in downtown Miami on
Saturday....
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment