Alvaro Morata wa Hispania akiwania mpira dhidi ya kipa wa Korea Kusini, Kim Jin-Hyeon (kushoto) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Red Bull Arena mjini Salzburgbut. Hispania ilishinda 6-1, Morata akifunga mawili sawa na Nolito, mengine yakifungwa na David Silva, Cesc Fabregas huku la Korea likifungwa na Ju Se-Jong PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment