Mshambuliaji wa Liverpool, Divock Origi akienda chini wakati anapambana na mchezaji wa West Ham United, Angelo Ogbonna katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA usiku wa jana Uwanja wa Upton Park. West Ham ilishinda 2-1 na kuitoa Liverpool, mabao yake yakifungwa na Michail Antonio na Ogbonna, wakati la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho. West Ham sasa itamenyana na Blackburn katika Raundi ya Tano Uwanja wa Ewood Park PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Could Aaron Donald really come back to the Rams?
-
Rob Havenstein shares his honest assessment of whether Aaron Donald could
return to the Rams after two years away, suggesting it would likely happen
late i...
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment