MASHABIKI waliojitokeza kutazama mechi kati ya NRL All Stars dhidi ya Indigenous All Stars walishuhudia mambo zaidi ambayo hawakuyarajia wakati wanalipa fedhja kuingia uwanjani.
Hiyo ni baada ya centre wa Indigenous, Greg Inglis kuvuliwa chupi wakati anapambana na mchezaji wa timu pinzani.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa amevalia chupi ya 'budgy smuggler' ikiwa na bendera ya Koori ya Australia.
Mashabiki waliokwenda kutazama mechi kati ya NRL All Stars na Indigenous All Stars leo walipata burudani za ziada
Greg Inglis akivuliwa chupi wakati akiangushwa chini na mchezaji wa timu pinzani
Chupi hiyo ina thamani ya dola 50 za Australia, sawa na Pauni 25 za Uingereza na ni hivi karibuni tu imezinduliwa.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/rugbyleague/article-2952228/Fans-watching-NRL-Stars-game-bargain-tackle-Greg-Inglis-takes-shorts-reveal-budgy-smugglers.html#ixzz3RdNK8Q9W
0 comments:
Post a Comment