• HABARI MPYA

    Sunday, November 09, 2014

    RUVU SHOOTING WAICHAPA SIMBA SC 3-2 TAIFA

    Kiungo w Simba Abdul Kanudulu akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Ruvu Shooting, Salum Lubawa mdogo wa kipa wa Mgambo JKT, Said Lubawa katika mchezo wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 20 mchana wa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ruvu walishinda mabao 3-2. Mabao ya Ruvu yamefungwa na Kassim Mdoe na Njaidi Mohamed mawili, wakati ya Simba yamefungwa na Abdul Mohamed na Patrick Mhagama.
    Patrick Mhagama wa Simba SC, akimtoka Ambele Daudi wa Ruvu Shooting
    Saad Ally wa Ruvu akitoa pasi mbele ya mchezaji wa Simba SC, Abdul Guko
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RUVU SHOOTING WAICHAPA SIMBA SC 3-2 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top