• HABARI MPYA

    Wednesday, October 15, 2014

    'THE DON KD' NA 'TRY AGAIN' NDANI YA JO'BURG KATIKA MIKAKATI YA KUTAFUNA KANDAMBILI JUMAMOSI TAIFA...

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Kassim Dewji 'KD' kushoto akijadiliana mambo na Mjumbe Mteule wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Salim Abdallah 'Try Again' kwenye viwanja wa Eden Vale PETRA mjini Johannesburg, Afrika Kusini wakati wachezaji wa timu hiyo (hawapo pichani) wakiendelea na mazoezi kujiandaa na mechi dhidi ya watani wa jadi, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Iddi Kajuna.
    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Said Tuliy kulia akiwa na Nahodha wa Orlando Pirates, Lucky Lekgwathi kushoto baada ya mechi baina ya timu hizo Jumamosi iliyopita. Timu hizo zilitoka 0-0. Chini ni Mjumbe mwingine wa Kamati ya Utendaji, Collins Frisch akiwa na mchezaji huyo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'THE DON KD' NA 'TRY AGAIN' NDANI YA JO'BURG KATIKA MIKAKATI YA KUTAFUNA KANDAMBILI JUMAMOSI TAIFA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top