NYOTA wa Brazil, Neymar amebadilisha mtindo wa nywele na kuziweka dawa kama ambavyo walifanya wachezaji wa Romania katika Kombe la Dunia mwaka 1998 nchini Ufaransa.
Baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia Brazil ikiilaza Croatia 3-1, Neymar ameonyesha mtindo mpya wa nywele saws na mchezaji mwenzake wa Barcelona, beki wa kushoto Dani Alves.
Neymar (kuahoto) na Dani Alves katika mtindo mpya wa nywele
Mashabiki wa Brazil wakiwa wamemjalia nyota wao
Neymar akionyesha ujuzi wake wa kuuchezea mpira mazoezini
Unakumbuka haws? Romania pia waliibuka na mtindo huu wa nywele Ufaransa mwaka 1998





.png)
0 comments:
Post a Comment