Mateso bila chuki: Robin Van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia usiku huu
Robin van Persie pia alifunga bao zuri la kichwa cha umbali wa mita 30 ambalo lilikuwa la kusawazisha kwa Uholanzi
Haamini macho yake: Casillas kama analia hive huku wachezaji wa Uholanzi wakishangilia bao la Van Persie
0 comments:
Post a Comment