// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 10, 2014

    KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEO

    Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM
    MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (pichani chini) atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kocha ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
    Uzinduzi wa kozi hiyo ya wiki mbili utafanywa leo (Juni 10 mwaka huu) saa 6 mchana kwenye hosteli za TFF zilizopo Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam.

    Makocha zaidi ya 20 wenye Leseni C kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wanashiriki katika kozi hiyo inayoendeshwa na Mkufunzi wa CAF, Sunday Kayuni. Mkufunzi mwingine wa kozi hiyo anayetambuliwa na CAF ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top