// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JENNIFER LOPEZ AJITOA SHEREHE ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA, FIFA YATHIBITISHA HATAIMBA ALHAMISI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JENNIFER LOPEZ AJITOA SHEREHE ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA, FIFA YATHIBITISHA HATAIMBA ALHAMISI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, June 09, 2014

    JENNIFER LOPEZ AJITOA SHEREHE ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA, FIFA YATHIBITISHA HATAIMBA ALHAMISI

    MWANAMUZIKI Jennifer Lopez hataimba limbo maalum wa Kombe la Dunia sambamba na wasanii wenzake nyota, Pitbull na Claudia Leitte katika sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo Brazil, taarifa ya FIFA imesema jana.
    Bodi hiyo ya soka duniani imesema Lopez hataimba Alhamisi wiki hii kama ilivyopangwa awali kutokana na sababu za kitaalamu ambazo hazikutajwa.
    Wawakilishi wa mwimbaji huyo hawajasema sababu ya Lopez kutoweza kuungana na wenzake. 
    Kwenye kipaza: Jennifer Lopez amejitoa kwenye sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JENNIFER LOPEZ AJITOA SHEREHE ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA, FIFA YATHIBITISHA HATAIMBA ALHAMISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top