• HABARI MPYA

    Sunday, June 08, 2014

    ENGLAND WAONYESHA UKOMAVU, WATANDIKWA 'VIATU' ILE MBAYA NA HONDURAS LAKINI HAKUUMIA HATA MMOJA

    NAHODHA wa England, Steven Gerrard alionyesha kufurahia kuimarika kwa wachezaji wenzake kwa kumaiza mechi bila majeruhi wakitoka safe ya bila kufungana na Honduras, lakini akalaumu uchezeshaji mbovu wa refa.
    Refa kutoka Amerika ya Kat aliyochezesha mechi hiyo usiku wa jana mjini Miami aliwapa kadi za nano wachezaji wanne na kumpa nyekundu Brayan Beckeles kufuatia kumchezea rafu Leighton Baines, hivyo kumoa njano ya poili.
    Mechi hiyo ilichelewa kuanza kwa dakika 30 kipindi cha kwanza katokana na radi kupiga uwanjani, lakini ilipoanza Hondurans waliwavaa wachezaji wa Three Lions na kuwatandika viatu kisawasawa.

    Undava: Nahodha wa England hakufurahishwa na uchezaji rafu wa wachezaji wa Honduras jana mjini Miami
    Seeing red: Beckeles is given his marching orders after two bookings at Sun Life Stadium
    Nyekundu: Beckeles akionyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano Uwanja wa Sun Life
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND WAONYESHA UKOMAVU, WATANDIKWA 'VIATU' ILE MBAYA NA HONDURAS LAKINI HAKUUMIA HATA MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top