Mambo gani tena haya: Kitendo cha kusogea karibu na lango la Honduras, usiku wa jana kilimponza mshambuliaji wa England, Daniel Sturridge kumwagiwa bia na mashabiki wa wapinzani wao hao katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana mjini Miami, Marekani.
0 comments:
Post a Comment