• HABARI MPYA

    Monday, June 16, 2014

    ENGLAND WAFIKIA GYM BAADA YA KICHAPO CHA ITALIA JANA

    Kwenye baiskeli! Wachezaji wa England wakifanya mazoezi kweney gym ya hotel tab Royal Tulip baada ya kurejea kambini kwao Rio de Janeiro, kufuatia kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Italia jana katika mchezo wa Kombe la Dunia
    Pedal power: Raheem Sterling takes on board an energy drink as the players recovered in the gym
    Raheem Sterling akinywa kinywaji cha kuongeza nguvu wakati anafanya mazoezi gym
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND WAFIKIA GYM BAADA YA KICHAPO CHA ITALIA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top