Mwanzo mzuri: Teofilo Gutierrez akishangilia baada ya kuifungia Colombia bao la pili dakika ya 57 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Ugiriki mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia jioni ya leo nchini Brazil. Mabao mengine yamefungwa na Pablo Armero dakika ya tano na James David Rodriguez dakika ya 90 na ushei. Mchezo mwingine wa kundi hilo kati ya Ivory Coast na Japan utafuatia baadaye.
COLOMBIA YAICHAPA 3-0 UGIRIKI

.png)
0 comments:
Post a Comment