// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CAMEROON WAGOMA KUPANDA NDEGE LEO KWENDA BRAZIL HADI WALIPWE POSHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CAMEROON WAGOMA KUPANDA NDEGE LEO KWENDA BRAZIL HADI WALIPWE POSHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 08, 2014

    CAMEROON WAGOMA KUPANDA NDEGE LEO KWENDA BRAZIL HADI WALIPWE POSHO

    KIKOSI cha Cameroon leo kimegoma kupanda ndege kwenda  Brazil kwa ajili ya Kombe la Dunia ili kushinikiza malipo ya posho za kushiriki michuano hiyo.
    Timu hiyo imebaki katika hoteli yao mjini Yaounde, wakati Waandishi wa Habari walikuwa nje ya ofisi za Shirikisho la Soka Cameroon kupata maelezo juu ya sakata hilo.
    Ndege ilitarajiwa kuondoka Yaounde Saa 3:00 asubuhi kwenda Brazil, wakati Cameroon inacheza mechi yake ya ufunguzi Ijumaa na Mexico.

    Umoja: Wachezaji wa Cameroon wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kucheza na Ujerumani

    Wachezaji wa Cameroon wiki iliyopita walitaka kugoma hadi kwanza wapewe posh zao, lakini wakasitisha mgomo huo na kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ujerumani Jumapili iliyopita, liliripotia gazeti la L'Equipe la Ufaransa.
    Cameroon ipo Kundi A na wenyeji Brazil, Croatia na Mexico.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CAMEROON WAGOMA KUPANDA NDEGE LEO KWENDA BRAZIL HADI WALIPWE POSHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top