• HABARI MPYA

    Wednesday, September 04, 2013

    MTOTO WA MOURINHO ASAINI FULHAM

    IMEWEKWA SEPTEMBA 4, 2013 SAA 12:29
    MTOTO  wa kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesaini kwa wapinzani katika Ligi Kuu ya England, Fulham.
    Kipa huyo mwenye umri wa miaka 14 amejiunga na timu ya vijana ya Craven Cottage baada ya kufuzu majaribio ya mwezi mmoja katika klabu hiyo.
    Jose Mario awali alichezea timu ya vijana Hispania za Real Madrid, Canillas wakati baba yake alipokuwa akifanya kazi Bernabeu.
    Going to Fulham: Jose Mourinho and his family have decided not to pick Chelsea for their son Jose Mario
    Nenda Fulham: Jose Mourinho na familia yake wameamua kutompeleka kijana wao, Jose Mario Chelsea

    Lakini gazeti la Hispnia, Marca limeandika Mourinho Jnr hakutaka kumfuata baba yake Chelsea na kuamua kujiunga na U-14 ya Fulham.
    Mkataba ni wa msimu mmoja kwa sababu huo Mkataba mrefu ambao mchezaji anapokuwa ugenini anaruhusiwa kusaini.
    Mourinho mdogo ana matumani ya kufuata nyayo za babu yake, Jose Manuel Mourinho Felix ambaye alikuwa kipa hodari Ureno miaka ya 1970 hadi kuchezea timu ya taifa. 
    Rivalry: Will Mourinho senior be watching from the sideline when he son plays against Chelsea?
    Mpinzani: Mourinho mkubwa atakuwa anamuangalia kijana wake timu yake itakapocheza na Chelsea?
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MTOTO WA MOURINHO ASAINI FULHAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top