• HABARI MPYA

    Monday, October 15, 2012

    BOBAN, NYOSSO WAIBUKIA KWENYE NDONDI MASHALI AKIMTWANGA MGANDA MANZESE

    Wachezaji wa Simba, Juma Nyosso kulia akiwa  na kushoto Haruna Moshi, beki wa Yanga Godfrey Taita bwakiwa na Profesa Jay, wakimuombea dua bondia Thomas Mashali kabla ya pambano lake jana.
    Bondia Thomas Mashali akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Tanzania pamoja na wa Afrika Mashariki na Kati alioupata jana
    Rais wa TPBO, Yasini Abdallah 'Ustadh' akisalimiana na Profesa Jay kwenye kona ya Mashali
    Boban, Nyosso, Taita, Profesa wakiwa kwenye kona ya Mashali wakati wa kupigwa wimbo wa taifa 
    Baadhi ya Viongozi pamoja na mgeni rasmi wakisimama kwa ajili ya wimbo wa tafa kabla ya mpambano
    BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na  MEDY SEBYALA wa Uganda wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa ajili ya kumbukumbu ya baba wa taifa Mashali alishinda kwa pointi.
    Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa pointi
    BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na  MEDY SEBYALA wa Uganda 
    Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa pointi
    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela kushoto akiwa amekinga ngumi huku akiwa na furahaa baada ya bondia Thomas Mashali kuibuka na ubigwa kwa kumpiga bondia kutoka Uganda wakati wa maazimisho ya kumbukumbu ya baba wa taifa 
    Bondia Thomasi Mashali akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa Afrika Mashaliki katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali
    Mbunge wa Kinondoni, Iddi Azzan akiwa katika picha na Bondia Thomas Mashali baada ya kuvishwa ubingwa wa Afrika Mashariki 
    Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa pointi. Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BOBAN, NYOSSO WAIBUKIA KWENYE NDONDI MASHALI AKIMTWANGA MGANDA MANZESE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top