UHURU SULEIMAN MWAMBUNGU NDANI YA SETIF AKIJIFUA KWENYE BARIDI KALI
Kiungo wa Simba Uhuru Suleiman akiwa maeozini na klabu yake mjini Setif kujiandaa na mechi dhidi ya wenyeji ES Setif, Kombe la Shirikisho. Uhuru amesema hali ya hewa ni baridi kali mjini humo kiasi kwamba wanaipata fresh. Hata hivyo, amesema wanaendelea vizuri na wanamini watawatoa wenyeji.
0 comments:
Post a Comment