![]() |
| Mourinho |
Kocha huyo Mreno aliachana na Nerazzurri majira ya joto 2010 baada ya kuwapa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa, lakini bado ana hisia na vigogo hao wa Serie A.
"Mimi ni shabiki mkubwa wa Inter. Klabu hiyo ni nyumbani kwangu na hakika nitarudi. Ligi? Hakuna cha kusema juu ya mustakabali wangu kwa sasa. Bado nina mkataba wa miaka miwili zaidi na Real na sijawahi kusema sitabaki Madrid," Mourinho alisema.



.png)
0 comments:
Post a Comment