Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho (kushoto) akiwa amenuna baada ya timu yake kufungwa mabao 2-1 na Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Kulia ni kocha wa City, Pep Guardiola ambaye mabao ya timu yake yamefungwa na Kevin de Bruyne na Kelechi Iheanacho, wakati la kufutia machozi la United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The Godmother of Fashion is in Cleveland
-
Kent State's School of Fashion is ranked among the best in the world, and
Fern Mallis, known as the Godmother of Fashion and founder of New York
Fashion We...
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment