Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, September 16, 2016

  KILIMANJARO QUEENS KUMENYANA NA UGANDA NUSU FAINALI CHALLENGE

  TIMU ya taifa ya Tanzania Bara ya wanawake, Kilimanjaro Queens imemaliza kwa sare ya bila kufungana katika mechi za Kundi B Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mjin Jinja leo.
  Kwa matokeo hayo, Kilimanjaro Queens itamenyana na wenyeji Uganda katika Nusu Fainali Jumapili, wakati Nusu Fainali nyingine itazikutanisha Kenya vs Ethiopia.
  Fainali ya CECAFA Challenge ya kwanza ya wanawake inatarajiwa kufanyika Septemba 20, ikitanguliwa na mchezo wa kusaka mshindi wa tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS KUMENYANA NA UGANDA NUSU FAINALI CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top