• HABARI MPYA

    Saturday, September 10, 2016

    BAO LA PENALTI DAKIKA YA MWISHO LAIBEBA ARSENAL

    Santi Cazorla akipiga penalti kuifungia Arsenal bao la ushidi dhidi ya Southampton dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Emirates, London leo. Arsenal imeshinda 2-1 bao lake la kwanza likifungwa na Laurent Koscielny wakati kipa Petr Cech alijifunga kuipatia Southampton bao PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAO LA PENALTI DAKIKA YA MWISHO LAIBEBA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top