• HABARI MPYA

    Wednesday, September 07, 2016

    ARGENTINA YAKOMALIWA NA VENEZUELA SARE 2-2

    Wachezaji wa Argentina wakiondoka uwanjani kinyonge baada ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Venezuela uliomalizika kwa sare ya 2-2 mjini Merida, Venezuela jana. Mabao ya Venezuela yalifungwa na J. Anor na J. Martinez wakati ya Argentina yalifungwa na L. Pratto na N. Otamendi PICHA ZAIDI GOGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARGENTINA YAKOMALIWA NA VENEZUELA SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top