• HABARI MPYA

    Saturday, September 03, 2016

    ACHENI AWE FITI, HUYU JAMAA ANAPIGA TIZI AISEE!

    Mwanasoka bora wa Ulaya, Cristiano Ronaldo ameposti picha hii akijifua kwenye ukurasa wake wa Instagram Ronaldo anajifua kujiandaa kurejea uwanjani baada ya mapumziko ya tangu ashinde taji la Euro na Ureno mwezi uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ACHENI AWE FITI, HUYU JAMAA ANAPIGA TIZI AISEE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top