• HABARI MPYA

    Thursday, February 04, 2016

    WABUNGE WALIVYOILAKI SIMBA SC DODOMA LEO IKIWA NJIANI KWENDA SHINYANGA

    Mbunge wa jimbo la Kondoa Kusini, Juma Nkamia (kulia) akisalimiana na beki Mrundi wa Simba SC, Emery Nimubona wakati timu hiyo iliposimama kwa muda mjini Dodoma ikiwa safari kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumamosi
    Wabunge mbalimbali ambao wapo Dodoma kwa ajili ya kikao cha 11 cha Bunge wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Simba SC leo
    Add caption

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WABUNGE WALIVYOILAKI SIMBA SC DODOMA LEO IKIWA NJIANI KWENDA SHINYANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top