• HABARI MPYA

    Wednesday, February 17, 2016

    VAN GAAL AMTEMA ROONEY, ABEBA MAKINDA SAFARI YA DENMARK MECHI YA EUROPA LEAGUE

    Morgan Schneiderlin (kulia) na Anthony Martial pichani wakiwa Uwanja wa Ndege wakati wa safari yao leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA

    KIKOSI CHA MAN UTD KINACHOKWENDA KUIVAA MIDTJYLLAND

    David De Gea, Sergio Romero, Donald Love, Paddy McNair, Chris Smalling, Daley Blind, Regan Poole, Joe Riley, Michael Carrick, Ander Herrera, Morgan Schneiderlin, Jesse Lingard, Andreas Pereira, James Weir, Juan Mata, Memphis Depay, Anthony Martial na Will Keane.
    NAHODHA wa Manchester United, Wayne Rooney ameondolewa kwenye kikosi cha wachezaji 18 kinachokwenda kumenyana na FC Midtjylland ya Denmark katika michuano ya Europa League keshi.
    Kiungo Marouane Fellaini amekuwa mchezaji mwingine mzoefu aliyeachwa kwenye safari hiyo pamoja na beki wa pembeni Matteo Darmian.
    Kocha Louis van Gaal amebeba wachezaji chipukizi zaidi katika safari hiyo, wakiwemo Regan Poole, Joe Riley na James Weir ambaye anaweza kuchezea kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN GAAL AMTEMA ROONEY, ABEBA MAKINDA SAFARI YA DENMARK MECHI YA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top