• HABARI MPYA

  Wednesday, February 17, 2016

  MESSI APIGA MBILI BARCELONA IKIUA 3-1 LA LIGA, SUAREZ AKOSA PENALTI

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao lake la 300 katika Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga dakika ya 25 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sporting Gijon Uwanja wa El Molinon usiku wa leo. Messi alifunga pia la 301 dakika ya 31, wakati bao lingine la Barca lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 67 ambaye pia alikosa penalti kwenye mchezo huo, huku la wenyeji likifungwa na Castro Garcia dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI BARCELONA IKIUA 3-1 LA LIGA, SUAREZ AKOSA PENALTI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top