• HABARI MPYA

  Monday, November 22, 2021

  YANGA YAIZAWADIA JEZI FAMILIA YA MWALIMU NYERERE


  MWENYEKITI wa Yanga SC, Dk. Mshindo Msolla leo amewakabidhi jezi za timu hiyo, mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mama Maria Nyerere pamoja na mwanawe, Madaraka Nyerere nyumbani kwao Msasani, Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAIZAWADIA JEZI FAMILIA YA MWALIMU NYERERE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top