• HABARI MPYA

  Friday, November 12, 2021

  KOCHA MPYA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC


  KOCHA mpya wa Simba SC, Mspaniola Pablo Franco Martin leo ameanza kazi ya kukinoa kikosi cha timu hiyo baada ya kuwasili juzi na kusaini mkataba wa miaka miwili akirithi mikoba ya Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa aliyefukuzwa mwezi uliopita.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA ALIVYOANZA KAZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top