• HABARI MPYA

  Tuesday, November 23, 2021

  GSM WADHAMINI WAPYA LIGI KUU


  MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani (Kulia) na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Group, Mhandisi Hersi Said (kushoto) wakionyesha mfano wa Hundi ya mkataba uliosainiwa leo wa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wenye thamani ya shilingi Bilioni 2.1 kwa miaka miwili.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GSM WADHAMINI WAPYA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top