• HABARI MPYA

  Sunday, November 28, 2021

  REFA ALIYEWAPA YANGA PENALTI ACHUKULIWA HATUA


  REFA Abel William aliyewapa Yanga penalti ya uraia iliyowapatia bao la kusawazisha wako toa sare ya 1-1 na Namungo FC wiki iliyopita Lindi amechukuliwa hatua.
  Taarifa ya Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba refa huyo amepelekwa Kamati ya Waamuzi akajadiliwe kwa makosa aliyoyafanya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA ALIYEWAPA YANGA PENALTI ACHUKULIWA HATUA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top