• HABARI MPYA

  Monday, November 29, 2021

  DODOMA JIJI YALAZIMISHWA SARE NA COASTAL

  WENYJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Jumapili Uwanja wa Jamhiri Jijini Dodoma.
  Kwa sare hiyo, Dodoma Jiji wanafikisha pointi 12 na kurejea nafasi ya tatu, wakati Coastal Union inatimiza pointi nane na kusogea nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi saba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YALAZIMISHWA SARE NA COASTAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top