• HABARI MPYA

  Friday, November 05, 2021

  BODI YAZIKUMBUSHA KLABU KUBORESHA VIWANJA


  BODI ya Ligi Tanzania imezitaka klabu za Ligi Kuu kutumia kupindi hiki kifupi cha mapumziko kuboresha viwanja vyao. 
  Baada ya raundi tano za awali, Ligi Kuu ya Tanzania Bara imesimama kuanzia Novemba 19 kupisha mechi za kufuzu Kombe la Dunia.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YAZIKUMBUSHA KLABU KUBORESHA VIWANJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top