• HABARI MPYA

  Tuesday, November 30, 2021

  SIMBA NA JKT, YANGA NA IHEFU, AZAM NA WARRIORS ASFC


  MABINGWA watetezi, Simba SC wataanza na JKT Tanzania katika Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), wakati watani wao, Yanga waliomaliza nafasi ya pili wataanza na Ihefu SC ya Mbeya.
  Timu nyingine maarufu ya Ligi Kuu, Azam FC kama Simba na Yanga nao watacheza na timu ya Championship katika Raundi ya Kwanza, ambayo ni Green Warriors ya Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA JKT, YANGA NA IHEFU, AZAM NA WARRIORS ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top