• HABARI MPYA

  Tuesday, November 16, 2021

  KUCHEZA LIGI YA ALGERIA SI SIFA YA KUITWA STARS


  MSHAMBULIAJI Mtanzania, Adam Salamba akiwa kwenye kikosi cha kwanza cha JS Saoura kabla ya moja ya mechi za Ligi Kuu ya Algeria mapema mwezi huu.


  Pamoja na kucheza Ligi Kuu ya Morocco bado Salamba hana nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania chini ya kocha Mdenmark, Kim Poulsen.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KUCHEZA LIGI YA ALGERIA SI SIFA YA KUITWA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top