• HABARI MPYA

  Wednesday, November 17, 2021

  SIMBA SC WATUA MWANZA KUIVAA RUVU


  MABINGWA watetezi, Simba SC wamewasili salama Jijini Mwanza kwa ndege jioni ya leo kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wa muda, Ruvu Shooting Ijumaa Uwanja wa CCM Kirumba.






  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WATUA MWANZA KUIVAA RUVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top