• HABARI MPYA

  Tuesday, November 16, 2021

  LYANGA AFANYIWA UPASUAJI AFRIKA KUSINI


  WINGA wa Azam FC, Ayoub Lyanga leo amefanyiwa upasuaji katika hospitali ya Life Vincent Pelloti mjini Cape Town, Afrika Kusini.
  Upasuaji huo uliochukua muda wa saa mbili, unafuatia Lyanga kuumia Novemba mbili mwaka huu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Geita Gold.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LYANGA AFANYIWA UPASUAJI AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top