• HABARI MPYA

  Wednesday, November 10, 2021

  WAZIRI MKUU ATETA NA WACHEZAJI STARS


  WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars jana baada ya mazoezi kuelekea mchezo wa kesho wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).


  Wachezaji wa Taifa Stars wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.


  Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta anayecheza Royal Antwerp ya Ubelgiji akiwa mazoezini na wenzake.


  Nyota wa Taifa Stars, Simon Msuva anayecheza Wydad Athletic ya Morocco akiwa mazoezini na wenzake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU ATETA NA WACHEZAJI STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top