• HABARI MPYA

  Sunday, November 14, 2021

  PABLO AANZA NA SARE YA 2-2 SIMBA SC


  KOCHA mpya wa Simba, Mspaniola Pablo Franco Martin jana ameanza na sare ya 2-2 na Cambanso Academy katka mchezo wa kirafiki Uwanja wa Boko Veterani Jijini Dar es Salaam.
  Simba ilitangulia kwa mabao ya Yussuf Mhilu na Jonas Mkude kwa penalti kipindi cha kwanza, kabla ya Cambianso kusawazisha kipindi cha pili kupitia kwa Hija Shamte na Manzil Mwinyihija.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PABLO AANZA NA SARE YA 2-2 SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top