• HABARI MPYA

  Wednesday, November 03, 2021

  BARCELONA YASHINDA 1-0 UGENINI


  BAO pekee la Ansu Fati limeipa Barcelona ushindi wa 1-0 dakika ya 70 limeipa Barcelona ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dynamo Kyiv usiku wa Jumanne Uwanja wa NSK Olimpiki Jijini.
  Barca inafikisha pointi sita na kupanda nafasi ya pili ikizidiwa pointi sita na vinara, Bayern Munich wakati Dynamo Kyiv inabaki na pointi yake moja katika nafasi ya tatu nyuma ya Benfica yenye pointi nne baada ya wote kucheza mechi nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top