• HABARI MPYA

  Thursday, November 04, 2021

  AMOAH AJITIA KITANZI AZAM FC HADI 2024


  BEKI kisiki wa Azam FC, Daniel Amoah, ameongeza mkataba wa miaka miwili zaidi kuendelea kusalia ndani ya viunga vya Azam Complex.


  Amoah amesaini mkataba huo mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat', utakaomalizika Agosti 2024.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMOAH AJITIA KITANZI AZAM FC HADI 2024 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top