• HABARI MPYA

  Saturday, November 06, 2021

  TANZANITE YAPIGWA TENA CECAFA U20


  TANZANIA leo imepoteza mechi ya pili mfululizo kwenye michuano ya  CECAFA wanawake U20 baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Uganda Uwanja wa FTC Njeru.
  Kipigo hicho kinafuatia kipigo cha 2-1 kutoka kwa Ethiopia kwenye mchezo uliopita.
  Mechi mbili za awali, Tanzanite ilishinda 1-0 dhidi ya Eritrea na 3-2 dhidi ya Burundi na itashuka tena dimbani Jumanne kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANITE YAPIGWA TENA CECAFA U20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top