• HABARI MPYA

  Friday, November 05, 2021

  DILUNGA NDIYE MCHEZAJI BORA WA SIMBA OKTOBA


  KIUNGO Hassan Dilunga ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa klabu ya Simba ambayo hutolewa na kampuni ya Emirate Alminium ACP.  Kwa ushindi huo, Dilunga amezawadiwa kiasi cha Sh. Milioni 2 kutoka kampuni Emirate Alminium ACP.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DILUNGA NDIYE MCHEZAJI BORA WA SIMBA OKTOBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top