• HABARI MPYA

  Friday, November 26, 2021

  AGGREY MORRIS ASOMEA UKOCHA KOZI YA CAF


  BEKI aliyesimamishwa Azam FC kwa utovu wa Nidhamu, Aggrey Morris Ambrose ni miongoni mwa washiriki wa Koziya Ukocha ya CAF Diploma C inayoendelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam.


  Pamoja na Aggrey Morris, lakini wapo mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Shauri Iddi Mussa na mchambuzi wa Azam Tv, Ally Kamwe.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGGREY MORRIS ASOMEA UKOCHA KOZI YA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top