• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 03, 2021

  TANZANITE YAONJESHWA KIPIGO MICHUANO YA CECAFA


  TANZANIA leo imechapwa 2-1 na Ethiopia katika mfululizo michuano ya  CECAFA wanawake U20 mchana wa leo  Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda.
  Kipigo hicho kinakuja baada ya Tanzanite kushinda mechi mbili za awali, 1-0 dhidi ya Eritrea na 3-2 dhidi ya Burundi.
  Tanzanite itashuka tena dimbani Jumamosi kuivaa Uganda kabla ya kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti Novemba 9.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANITE YAONJESHWA KIPIGO MICHUANO YA CECAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top